Ezra 2:69

69Wakatoa kwa kadiri ya uwezo wao na kutia katika hazina darkoni 61,000
Darkoni 61,000 za dhahabu ni sawa na kilo 500.
za dhahabu, mane 5,000
Mane 5,000 za fedha ni sawa na kilo 2,900.
za fedha, na mavazi 100 ya ukuhani kwa ajili ya kazi hiyo.

Copyright information for SwhKC